Sauti ya mama yasikilizwa. Ni baada ya Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwapa ombi viongozi wa club ya Young Africans juu ya kumaliza tofauti zao na mchezaji Feisal Salum (Feitoto) na sasa leo ameonekana akisajiriwa rasmi ndani ya Club ya Azam FC
Azam sports imeripoti ambapo Feisal ameonekana kusaini mkataba wa kujiunga na Azam FC na kuwa mchezaji kamili wa Azam FC. Azam imeripoti Feisali akikabidhiwa pia jezi yake ambayo ni jezi namba 6 mgongoni ‘Feisal’
Akizungumza kupitia azam media Feisal amesema “nawa ahidi wapenzi wa Azam, nitawafanyia mazuri, inshaallah”
FOLLOW US HERE