Karim Benzema jana wakati anatambulishwa katika Club yake mpya ya Al-hilal alifanya jambo ambalo limefurahisha na kusisimua mashabiki wake na mashabiki wa Al-hilal baada ya kuingia na tuzo yake ya Ballon d’or
Ligi hiyo sasa inakuwa na jumla ya tuzo hizo 6 yaani imekuwa na jumla ya wachezaji wawili ambao mmoja anayo moja na mmoja anazo tano. Hii ni kubwa sana kwa ligi kuu ya Saudi Arabia

FOLLOW US HERE