Askofu Rugambwa aliwahi kuwa askofu wa Jimbo Katoliki Kigoma tangu mwaka 2008 hadi mwaka 2012 pamoja na Katibu Mkuu wa Idara ya Uinjilishaji Vatican.
Askofu Rugambwa anakuwa kardinali wa tatu nchini Tanzania akitanguliwa na Laurean Rugambwa aliyefariki dunia Desemba 8, 1997 na Polycarp Pengo aliyestaafu mwaka 2019
Ameteuliwa kuwa kardinali ikiwa ni takribani miezi mitatu tangu alipomteua kuwa askofu mkuu mwandamizi wa Jimbo Kuu la Tabora.
FOLLOW US HERE