Yanga sc wanaenda kucheza mchezo wa fainali wa Azam sports Federation Cup wa kesho dhidi ya Azam FC bila ya wachezaji wao nyota Fiston Kalala Mayele na Stephen Azizi Ki ambao wameende kuzitumikia timu zao za taifa kwa ajili ya michezo ya kufuzu finali za Afcon. Ambapo stephen Azizi Ki anaenda kuitumikia Burkina Faso 🇧🇫 itakayocheza dhidi ya Cape verde 🇨🇻 huku Fiston Mayele akiitumikia DR Congo itakayocheza dhidi ya Gabon mnamo juni 18
FOLLOW US HERE