Homa ya ini ‘hepatitis’ ugonjwa unaoambukizwa kwa njia zote za ngono pamoja na kugusana kwa maji maji yoyote ya mwilini
1.denda
2.jasho
3. Machozi
4. shahawa nk
Kuna aina tofauti tofauti ya visababishi vya homa ya ini ikiwaa ni pamoja na sumu, kemikali,magonjwa au kuwepo kwa virusi vya homa ya ini
Na katika makala hii tutazungumzimia hepatitis viruses 🦠
Uwepo wa hepatitis A,B,C,D na E umekua ni sababu ya vifo vingi ,hii hutokea pale ini linaposhambuliwa na virusi hivi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine kwa njia zifuatazo
1.kugusana kwaa maji maji yoyote yapatikanayo kwenye mwili wa mwathirika au mgonjwa wa ugonjwa huu
Kama vile
▪️Mate kwa njia ya ‘denda’ au ‘romance’
▪️ Machozi endapo mgonjwa akawa analia na ukawa na huruma ya kumfuta machozi
▪️Jasho kwa wale wanaokaa sehemu yanye misongamano
▪️maji maji yanayopatikana ukeni, kwenye shahawa na mkojo pia inaweza sababisha homa ya ini
▪️kuongezewa damu ya mtu aliyepata maambukizi ya virusi vya hepatitis
Dalili za homa ya ini
▪️Macho kubadilika rangi na kua njano sana
▪️Ngozi kuwa njano
▪️Mwili kudhoofika
▪️Homa kali
▪️Kutapika
▪️Kukojoa mkojo wa njano
Chanjo ya homa ya ini inapatikana hospitali ili kuweza jikinga hakikisha unafika kituo cha afya kupata muongozo Wa chanjo ya homa ya ini na matibabu pia
Imeandikwa na Dr. Kabuje
Anapatikana Twitter kama @KabujeDr
FOLLOW US HERE