Mashabiki wa Young Africans (WANANCHI) waungana leo jijini Dar es salaam kwa ajili ya kusherehekea ubingwa wao wa NBC premier league




 Wachezaji na viongozi wa Young Africans sports Club waungana na mashabiki wa timu hiyo kusherehekea ubingwa wao wa ligi kuu NBC jijini Dar es salaam ambapo mafuriko makubwa ya watu yameshuhudiwa wakiishangilia timu yao kwa furaha na shangwe kubwa