Leo June 10, 2023 jijini Dodoma, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha rasmi azimio kuhusu mapendekezo ya kuridhia mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa Bandari Tanzania kupitia kampuni ya DP World ya Dubai

FOLLOW US HERE