Kylian Mbappe atoa ya moyoni kuhusu Messi

 


Kylian Mbappe amesema

“Tunazungumza kuhusu mchezaji bora zaidi latika historia ya soka. Sio habari njema kabisa mtu kama Messi akiamua kondoka kwenye timu. 

Sielewi kwanini watu warifarijika sana baada ya yeye kuamua kuondoka. Hakupata heshima aliyostahili kule ufaransa. Ni aibu”