Mmiliki na mwenyekiti wa Precision Air aaga dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya Aga khan Dar es Salaam

 


Michael Ngaleku Shirima (aliyezaliwa 1943) mfanyabiashara, mjasiriamali na mhisani kutoka Tanzania, mwanzilishi na mwenyekiti wa sasa wa Precision Air, shirika kubwa la ndege nchini Tanzania ameaga dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Aga khani jijini Dar es salaam