Katika kumbukukumbu za Ballon d’or

 


Tukirudi kwenye kumbukumbu

Mara ya mwisho kwa mchezaji wa Premier League kushinda Ballon d'Or ilikuwa Cristiano Ronaldo mwaka 2008 akiwa na Manchester United.

 Je, kama Erling Haaland atachukua kombe la Ligi ya Mabingwa litamfanya Erling Haaland kuwa chaguo la ushindi?