Fede Valverde kuhusu uamuzi wa Messi: “Messi ni Messi. Tunajua anawakilisha nini kama mwanasoka na kama mtu. Yeye ni icon sio tu katika mpira wa miguu lakini ni icon kwa mchezo wowote. Sasa ni wakati wa kumheshimu, kumuenzi na kumtakia kila la kheri.” Alisema Fede Valverde
Federico Valverde, ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Uruguay ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa klabu ya La Liga ya Real Madrid na timu ya taifa ya Uruguay. Anachukuliwa kuwa mmoja wa viungo bora zaidi duniani. Alizaliwa tarehe 22 Julai 1998 huko Montevideo, Uruguay

FOLLOW US HERE