Kituo cha television “La porteria” ambacho hufanya uchambuzi wa habari za Barcelona kimeeleza kuwa ofa za club za Ulaya ambazo Messi alisema kuwa aliletewa na hakutaka hata kuzitathmini kwa sababu mapenzi yake yalikuwa kuchezea timu ya Barcelona kama atacheza Ulaya, club hizo zilikuwa ni Newcastle pamoja na Inter milan

FOLLOW US HERE