Saido Ntibazonkiza mchezaji bora wa mwezi Mei

 


Saido Ntibazonkiza mchezaji wa Simba sc atangazwa na bodi ya ligi kuu kama mchezaji bora wa mwezi May baada ya kufunga magoli 7 na assists 2 ikitengeneza upatikanaji wa magoli 9 kwa ajili ya timu yake 

Huku kocha Robertinho ambaye ndiye kocha wa Simba sc hiyo hiyo anayocheza Saido Ntibazonkiza naye ametangazwa kuwa kocha bora wa mwezi akiipatia simba ushindi katika mechi tatu na sare moja tu