UEFA yataja UEFA CHAMPIONS LEAGUE TEAM OF THE SEASON 2022/23


Hicho ndio kikosi kama kilivyotajwa na timu ya ufundi ya UEFA 

Manchester City ambao ni mabingwa wa kombe hilo kwa msimu huu wa 2022/23 imetoa jumla ya wachezaji saba (7) huku Inter milan na Real Madrid wakigawana wawili wawili