Maandamano tena nchini Kenya

 


Maandamano yameenea na kuendelea katika maeneo kadhaa nchini Kenya. Yakiwa yameitishwa na kiongozi wa upinzani Raila Odinga, lengo la maandamano hayo ni kulalamikia hali ngumu ya maisha baada ya bunge kupitisha muswada wa fedha wa wananchi wa 2023

Watu kadhaa wametiwa nguvuni na Polisi katika baadhi ya maeneo wakidhibiti ghasia zinazosababishwa na waandamanaji