Yanga sc wabeba rasmi kombe la ubingwa wa NBC premier league

 


Ni baada ya mechi ya mwisho ambayo imechezwa leo wakiwa wageni wa Tanzania prisons na kuichapa magori 2-0 huku Simba sc nao wakiichalaza Coastal Union ya Tanga magori 3-1 

Wamechukua kombe hilo wakiwa wanaongoza kwa jumla ya Point 78 wakiwa mbele ya mabigwa wa kihistoria Simba sc kwa point 5 ambao wana points 73