Ni baada ya Messi mwenye Ballon d’or 7 aliyeelekea Inter miami Marekani na Karim Benzema mwenye Ballon d’or 1 aliyeelekea Al-Ittihad ya huko Saudi Arabia wakati Ronaldo yeye akiwa ameondoka siku nyingi na kujiunga na Club ya Al-Nassir ya huko Saud Arabia
Na mchezaji mmoja ambaye amebaki katika ligi za Ulaya akiwa na Ballon d’or ni kiungo wa club ya Real Madrid Luca Modrick

FOLLOW US HERE