Leo Juni 15 katika kuwasilisha Bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024; Waziri wa fedha mh. Mwiguru Nchemba katika kuwasilisha bajeti ya wizara hiyo ametoa mapendekezo kuwa Ada ziondolewe kwa wahitimu wote wa kidato cha nne watakao teuliwa katika vyuo vya ufundi vifuatavyo;
👉DIT (Dar es salaam Institute of Technology)
👉MUST (Mbeya University of Science and Technology) na
👉ATC (Arusha Technical College)

FOLLOW US HERE