Vin Jr kuanza kuvaa jezi namba 7 mgongoni kuanzia msimu ujao


 Mabadiliko hayo ni kwa Rodrigo pia na yeye ambaye atakuwa akivaa namba 11 mgongoni.

Je, vin jr ataweza kweli kuwa mrithi halisi wa Cristiano Ronaldo pale Real Madrid?