Fainali ilienda mpaka dakika 120 bila kufungana goli lolote kati ya timu hizo mbili

Na ndipo maamuzi ikabidi yafanywe na mikwaju ya Penalti. Croatia wakapoteza kwa penalt nne dhidi ya tano za Spain. Ambapo Carvajal aliipa Spain mkwaju wa ushindi

Gavi akaweka rekodi ya kuwa mchezaji mdogo zaidi katika historia kutwaa taji katika timu ya taifa ya spain

Pedri, Gavi, Arejandro Balde, na Ansu fati limekuwa kombe lao la kwanza kubeba wakiwa katika timu yao hiyo ya taifa

Hata hivyo inazidi kuwepo rekodi mbaya zaidi kwa timu ya Croatia ambayo imeongeza idadi ya fainali ambazo wamecheza lakini katika zote hawakuwahi kuchukua kombe huku Luca Modric akiwa Captain katika mechi hizo