Real Madrid kushinda tuzo ya “Fair play”

 


Kila mwaka La Liga hutoa tuzo ya fair play maarufu kama “fair play award” na tuzo hii hutolewa kila msimu

Msimu huu wa 2022/23 tuzo hiyo imepewa kwa club ya Real madrid kwa sababu imekuwa timu iliyo cheza faulo chache zaidi, kadi za njano na nyekundu chache zaidi katika msimu huu kuliko timu yoyote hapo La Liga