Raisi putin adai vikwazo alivyowekewa na mataifa ya magharibi vimefungua kwake fursa nyingi za kiuchumi kwake

 


Pamoja na vikwazo vyote alivyowekewa na mataifa ya magharibi, Raisi Vradmir Putin ameonyesha kutoteteleka katika uchumi wake ambapo amesema vikwazo hivyo vimefungua kwake fursa za kibiashara na mataifa ya Asia, Mashariki ya Kati na Amerika ya Kusini

Ametamba, huku akisema kuwa Ukraine wataishiwa kabisa nguvu ya jeshi na kuendelea kuwa tegemezi kwa mataifa ya magharibi.