Poland yakana tuhuma za kibaguzi dhidi ya Raisi wa Afrika ya kusini pamoja na timu yake ambayo ilihusisha yeye, maafisa wake wa usalama na waandishi wa Habari ambao walikuwa ni juma ya watu 120. Ambapo ndege yao ilizuiliwa wakati inaelekea Ukraine kwa ajili ya shughuli maalumu ambayo ni kutatua mgogoro uliopo kati ya nchi hiyo na Urusi
Afisa wa usalama wa Raisi wa Afrika kusini alidai kuwa kuzuiliwa kwao hapo katika uwanja wa ndege wa Chopin Warsaw, haikuwa sawa kwani inahatarisha usalama wa Raisi wao ambaye aliondoka kivyake na usafiri wa Treni kuelekea Ukraine. Aidha akadai kuwa wanacheleweshwa na saula hilo ni la kibaguzi (ubaguzi wa rangi)
Poland wamekataa tuhuma hizo na kusema hawakuzuiliwa kwa sababu ya ubaguzi wa rangi ila wamezuiliwa kwa sababu nyingine (wameieleza BBC)

FOLLOW US HERE