Mchezaji nyota wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, anatarajiwa kuondoka timu ya Kifaransa, Paris Saint German (PSG) na kujiunga na Inter Miami timu ya Kimarekani.
Ni baada ya kukataa offa kubwa iliyotolewa na timu ya kisaudi Al-hilal
Dili lililotolewa na Timu hiyo ni pamoja na kushirikiana pamoja na brand kubwa kama Adidas na Apple
Chanzo: BBC Sport

FOLLOW US HERE