Ramaphosa wameanza juhudi za huo usuluhishi ambapo leo June 16 wataanza kwa kukutana na Raisi wa Ukraine Volodymir Zelensky huko Kyiv na kisha kesho kukutana na Raisi Vradmir Putin wa Urusi
Maraisi hao walioambatana pamoja na Cyril Ramaphosa ni pamoja na Yoweri Museven wa Uganda (katuma mwakilishi), Haikande Hichilema wa Zambia, Abdel Fattah al-sis wa Misri (katuma mwakilishi), Denis Sassou wa Congo (katuma mwakilishi) na Macky Sall wa Senegal
Je, juhudi hizo zitafua dafu?
Kila la kheri maraisi hao katika juhudi hizo za kuleta amani katika uso wa dunia.

FOLLOW US HERE