MESSI “kama ingekuwa ni suala la Pesa basi ningekuwa nimeenda Saudi Arabia au sehemu nyingine”

 


Moja kati ya kauli zilizosisimua usiku wa leo katika Speech aliyoitoa Messi ni amesema; “kama lingekuwa ni suala la Pesa, ningekuwa nimeenda Saudi Arabia. Inaonekana ni hela kubwa sana kwangu (aliyoiweka Al-hilal mezani). Ila ukweli ni kwamba, maamuzi yangu ya mwisho yanaenda sehemu nyingine. na sio kwa sababu ya pesa”

Kauli hii ina maoni mengi sana kuligana na kila mtu anavyomtazama na kumuona Lionel Messi. Unamtazamo na maoni gani juu ya kauli hii?