Matokeo ya finali za UEFA kwa finali nne za mwisho yamekuwa ni 1-0 kwa kila fainali


 Katika kumbukumbu;

Fainali nne za mwisho za kombe la mabingwa wa Ulaya matokeo yamekuwa 1- 0 kwa kila fainali kama inavyoonekana kwenye picha