Raisi Samia afanya uteuzi



Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Agnes Richard Kayola kuna Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi.

Balozi Kayola ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.